Genesis 39:2-3

2Bwana alikuwa pamoja na Yusufu, naye akastawi, Yusufu akaishi nyumbani kwa bwana wake Mmisri. 3Potifa alipoona kuwa Bwana alikuwa pamoja na Yusufu na kwamba Bwana alimfanikisha kwa kila kitu alichokifanya,
Copyright information for SwhKC